It's all about facts

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
618
Reaction score
1,440
IT'S ALL ABOUT FACTS

: Wakati wa kula wazazi wangu walikua wananiambia usiongee wakati unakula, Sikujua kama kauli yao ningeitumia hata kwenye mfumo wangu wa utafutaji....

Hakika usiongee wakati unakula.🤣🤣🤣Funga mdomo ukiwa unakula kimya kimya.

: Jinsi mwanamke aliye kwenye umri wa miaka 30's Anavyowatazama wasichana walio kwenye 20's.
Ni sawa na mwanaume maskini,jinsi anavyowatazama wanaume matajiri.😎😎😎😎😎

: Kamwe usirudishe urafiki na mtu ambaye alitaka kuangamiza utu wako,Pesa na mahusiano yako...
Maana tambua nyoka huvua magamba ili,aendelee kua nyuka mkubwa na imara zaidi ya awali.😎😎😎

: Cha ajabu Tunaonekana ni maskini kwa watu ambao,hata hawatulishi😎😎😎
Wala hatuwaoshei vyombo ili tupate kula.

Hatuwafulii mavazi ili na sisi tupate kupendeza..😎😎😎tusijenge chuki mi natania tu.🥺🥺

: 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Usicheke sana nikikuambia kusafiri na mswaki wa nyumbani kwako,ugenini ni ishara moja wapo ya umasikini😎😎😎

: 😂😂🤣🤣🤣Ni PESA pekee ndio yenye haki ya kuniambia utajuta kunipoteza,,Nyinyi wengine naombeni muwe wapole Kidogo..😎😎

Kuna jambo narekebisha🤣🤣

: Miaka 15-20 Nyuma, Ni wazazi ndio waliwaeleza binti zao,kuolewa na wanaume Bora

Lakini sikuizi ni wazazi kuasa vijana kuoa,wanawake imara

#foryouシpage #illuminateyourspace #nature #knowledgeispower #philosopher

Content created by : Dogoli kinyamkela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…