Hiyo ya kumsahau mtoto kwenye gari nilishaisikia.
Lakini si hilo tu...vile vile wazazi inabidi muwe mnaweka funguo za gari mbali ambako watoto hawatazifikia, na msiwe mnaacha magari bila ku lock.
Nilisikiaga stori moja tena DSM familia ilipoteza watoto wote kama sikosei...tena wakubwa wakubwa...kilichotokea ni kuwa ilikuwa week end wazazi wako ndani wanaongea watoto wakaenda kwenye gari waka wamefunga milango na madirisha...wakakosa hewa wakafa wote...nadhani walikuwa wanaishiwa nguvu bila kujua sababu kwa kuwa ni watoto.
Imefika jioni wazazi wanaulizana watoto wako wapi...tafuta watoto, tafuta na wewe...ndio wanawakuta wamekauka ndani ya gari.
Tram Almas ulifanya jambo jema kumshauri
huyo dada atakuwa wa kuja angekuwa na busara angekusikiza