It's either you're honest,...or

Duh! Ukweli mwingine ni wa kuumiza na unaweza punguza thamani ya penzi.
 
Mhhhh huo ukweli unauma na kuuvumilia ni ngumu sana
Kuna kuwa honest ila hapo ni too much mkuu kuubeba

haha,ila kumkimbia naona kama najisaliti mwenyewe.
maana kama unapenda ukweli na unapata mtu muwazi hivi ni vyema.

kesi inakuja pale unapotamani usinge ujua huo ukweli wenyewe
 


Yeah,kafanya vyema.
Ila nadhani inahitaji mda wa kutosha tu kuweza ku-u-stomach
 
Tatizo hamjui gharama za ukweli ila mnautaka tu,ona sasa umeambiwa ukweli umetepeta!
 

Dada yangu hauwi realistic naona.
tatizo sio kapitia nini,...ila tatizo ni kuukubali ukweli na
kuwa tayari kwenda nao.........
 
apo mnamuhukumu kwa kutoa VIUMBE VITATU au kwa kuwa HONEST?
lip ni lip?
nini jema lip baya?
 
Jamani sasa mlitaka ajibu nini wakati huo ndio ukweli wake???? Uamuzi ni wake sasa kusuka au kunyoa!!!!

It's too hard,nadhani inabidi nianze kujiondoa taratiibu.
nisimuumize asiniumize
 
Kushindwa kuu-face ukweli ni kujisaliti mwenyewe! I wish watu wangekua wakweli hivi. Muhimu ni kuuelewa kwa nini ilitokea hivi. Niliwahi kugongana na mdada ana condition siikumbuki jina, she is fertile everyday! Unlucky for her ana allergy na latex. So bahati mbaya inakua mbaya kweli.
Umeshawahi kuona cases za watu wanasaka mtoto, wanaenda kwa dr mdada anaambiwa hana kizazi, kaka anashangaa tu? Ukweli shld never be replaced with anything! I wish partner wako akimuangalia mtu kwa matamanio first time akuambie ili kama kuna uwezalo kufanya kumuoakoa ufanye. Well,I guess I'm that bold!
 
apo mnamuhukumu kwa kutoa VIUMBE VITATU au kwa kuwa HONEST?
lip ni lip?
nini jema lip baya?

Tatizo sio kuwa honest,tatizo ni kuua.
lakini nimegundua pia,pamoja na kuua kote huko
sioni hata kujutia ndani yake.

Hicho ndicho kigumu kubeba,kama kesha kua muuaji mzoefu
hamna shaka kuna siku nitakosa hela ya chakula na ataniua bure
afu niwe kwenye record ya waume alio kill
 

Thanks,but it's too late now.
I've given up,she is not going to be a woman of my life.
Just shopping around with her.
 
If u can't handle it,take a hike mapemaa! Next time get to know the person and the details before u ar in too deep. That way the damage will be minimal
It's too hard,nadhani inabidi nianze kujiondoa taratiibu.
nisimuumize asiniumize
 

dunia uwanja wa fujo!
 
whats being honest... what does it mean? how do you believe what a woman tells you... how do u know? Piga chiniiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…