It's my pleasure to be here.

Nini kimekuvuta ukajiunga na jf

me huwa ni mtu wa kuperuzi google huwa na browse mara kwa mara kukusanya taarifa za vitu flani. kila nikisearch naona wenzangu walishaulza xwali kama hlo hapa jamii forums, nkataka kuijua zaidi nkaingia fb nka like page ikaniongoza kujisajili. now najua nkipata shida wapi pa kuipeleka.
 
Weka namba yako ya whatsapp tukuunge kwenye group la whatsapp lenye mboss watakaokupa ajira umalizapo chuo. Usisahau kuambatanisha na majina yako matatu na picha yako pia.
 

Karibu jf ila jifunze kuandika achana na X badala ya S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…