Its My Wedding Annivesary

Hongera sana mkuu, Mola awawezeshe mzeeke wote kwa amani, upendo na uvumilivu!..

Asante Belinda,

Tuombe Mungu atujalie heri na uzima.
Babu na bibi are still together basi wanapendeza wenyewe wanavyofuatana kama kumbikumbi
 

Mwita anafurahi kwa uko thabiti na mwenye malengo.

MMU ni jukwaa la aina yake tunajifunza stadi za maisha.


Leo ntamwagia maji kisha namwambia "Kwa Hisani ya Jamii Forums".
 

Jamani tuloko kwenye mahusiano tupate elimu hii, Gaga unachosema nimekishudia kwa watu ninaowafahamu kila mmoja anamlaum mwenzake.

Kwenye hilo la company nadhani ndo mzizi wenyewe maana birds of same feathers....

Halafu jamii imejikita zaidi ktk kumfunza binti kuwa mke bora wakati wanaume twajifunza mambo ya ndoa ndani ya ndoa.

Asante kwa kushea ukweli huu!!
 
Hongera zenu RMn na wifi..mimi ndio naingia tenth month, ndoa si rahisi bwana yataka moyo! Ulikofika tuombe mungu nasi tufike. Kiss wifi kwa hisani ya warembo wote JF.
 
Hongera zenu RMn na wifi..mimi ndio naingia tenth month, ndoa si rahisi bwana yataka moyo! Ulikofika tuombe mungu nasi tufike. Kiss wifi kwa hisani ya warembo wote JF.

Shishi and all ladies in here are just wonderful!!!

10months hupelekea mwaka, kisha miaka hupelekea muongo 1. Wala usihofu maana kwa msaada wa Mungu mtafikia destiny zenu

Ila kwa hisani yenu leo wifi amepata kiss za ziada!
 
....hongera sana Realman na mkeo miaka 11 si haba kwenye ndoa. Kama usemavyo ndoa tamu bana mkielewana.....nikija kufikia hiyo miaka 11 ya ndoa my little boy atakuwa big boy. Uwiii!! Naona mbali kweli kweli maana ndio kwanza nina 1 year na mwezi hivi.
 
Sina la nyongeza ila nawatakia maisha mema na kila jema liwe nawe na familia nzima :first::first:
 

Pretty,

Nakushukuru sana.
Wala usitie shaka hiyo 11 yrs si mbali maana ukifika hapo jiandae na changamoto ya huyo boy maana utakuwa na wanaume wawili ndani nyumba.

With prayers naamini Mungu atatuvusha
 
Sina la nyongeza ila nawatakia maisha mema na kila jema liwe nawe na familia nzima :first::first:

Senk you MR,

Inapendeza na kutia moyo pale watu wanakutakia mema ktk maisha
 
Hongera sana RealMan its good to hear the way you love and treat your wife keep it up and keep it rolling, your wife must be very happy to have a man like you in her life, hapo ni mapendo kwa kwenda mbele.

Yes must be the woman of your life and I believe no other can ever take that place SAFI SANA!!
 
Duh hongera sana mkuu, miaka 11 sio mchezo na unaonyesha unafurahia sana ndoa yako.

Kumbe mwanzo wa maisha ya ndoa ni mgumu?? halafu kwa vile hamjazoea matatizo basi kila katatizo mtu anatafuta msaada wa nje hasa kwa wachungaji na wadhamini wa ndoa, nimejifunza kitu hapo kwenu.

Umenifurahisha sana kuonyesha ukomavu wewe na mkeo.

Nawatakia maisha mema na ya raha. Wanao Mungu akukuzie.
 
Hongera na karibu kwenye chama cha ndoa zinazodumu. Nawaombea muje kuwafurahia wajukuu zenu mkiwa pamoja.
 
Jamani RealMan natumaini sijakosea leo ni aniversari yako.

Hongera sana kama nimepatia!

Tujuze siku ya leo iko vipi kwako na kwa mupenzi wako, siku ya leo umesherekea vipi?
 
Jamani RealMan natumaini sijakosea leo ni aniversari yako.

Hongera sana kama nimepatia!

Tujuze siku ya leo iko vipi kwako na kwa mupenzi wako, siku ya leo umesherekea vipi?

Missy asante,

Kwa masaa ya Tanzania it is tomorrow Feb 5th. We'll be doing our 12th year and its just like yesterday.
Tutapata muda wa pamoja as family then of course a special evening away from home for the two of us.

So far tunamshukuru Mungu
 
Wow RealMa, you must be Mr. Man kwa unavyo mjali wie wako!

Hongera sana kaka, kwa kweli wachache sana wako na mapenzi kama yenu!

Tell us what did you get her this time around. :A S wink: ili wengine wajifunze kutoka kwako.

BIG UP BRO!!
 

kwa kweli ongereni mnatutia moyo tunaoenda kuingia
 
Realman na Mama Realman hongereni sana kwa kutimiza miaka 11 katika ndoa. kwa kweli mnatupa moyo sie ambao tunaelekea huko. Mbarikiwe sana na upendo udumu milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…