Its Now Or Never...!..(a must read)!

Its Now Or Never...!..(a must read)!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,199
Reaction score
8,761
Members!

Kwa heshima na taadhima, na kwa niaba ya familia ya Member maarufu wa jukwaa hili, Geoff, nawatangazia kwamba huyu mwenzetu anaoa 13/02/2010 huko Iringa...(msiniulize shemeji ni wa wapi..lol!)!

Mjasiriamali huyu anaomba michango yenu ya hali na mali, na kama tujuavyo sote uanaharakati wetu utaonekana kuwa wa Nguvu zaidi tukiweza kusaidiana sisi kwa sisi physically.."CHARITY BEGINS HOME"!

Kwa details zaidi(a/c number, M-Pesa, ZAP etc), m-PM yeye mwwenyewe, na hadi hivi sasa hali ya michango bado hairidhishi, very few JFers have responded...!

SHIME JF PALS, BRODAs, LEGENDs, SISTOs, BUDDIEs...LETS JOIN HANDS AND BE ONE!

ITS NOW OR NEVER...!
 
VIEWS: 41
But no reply...
Brodas and Sistos,

This is the hardest time for the above named pal!

Just reminding you!
 
noted with thanks!

si unajua tunauvutia kasi!! mwezi huu kaka!!
 
Tuko pamoja mkuu jamaa lazma abebe jumla! Jumla!
 
Back
Top Bottom