Its three months - I can't thank JF love connect enogh...

Its three months - I can't thank JF love connect enogh...

Oooh... Am so happy for you dear...! Nawatakia kila la heri jamani... Mungu ni mwema daima..!
 
hongera sana destiny1....Mungu awajalie furaha/amani tele katika mahusiano miliyoyaanza
 
Last edited by a moderator:
Hongera maana si mademu wala makaka wa JF wote full pasua, vuta pumzi kwanza
 
Hongera maana si mademu wa makaka wa JF wote full pasua, vuta pumzi kwanza
Thank you POMPO... nikupe siri?? there is so much power in thinking positively, trust me.
 
Hongera.
Wasiosoma ni chakula cha wasomi.
 
Hongera sana na kila la kheri katika safari yenu mliyoianza!
 
Nilikuwa nikimuomba sana mungu nimpate nitakeyempenda na yeye anipende kwa dhati, sikuwahi dhani kama ningekutana naye JF.... Siku hiyo nimeamka asubuhi fasta fasta bila kufikiria sana nikaingia JF na kupost....... hahah baadae nikaanza kujuta eti nitapigwa madongo... lakini nikajipa moyo na kusubiri nione nini kitatokea. Tell you what wadada out there?? JF kuna wakaka makini mno! nilipata PM nyingi sana, lakini only hii moja nilipoipata sikusita kumjibu "you are leading among candidates" na nikafunga maombi only in two days baada ya communications nyingi na yeye. tulipoonana candidate huyu alikuwa ameexceed expectations zangu big time, yani ni mungu ametuunganisha kupitia JF, tuliongea mengi as if tunajuana tulikuwa tumepotezana, lol.... so many things in common yani! Its three months now and I cant complain kwa kweli, so far, so good. I love you so much darling wangu and I feel loved too. Ninamuomba mungu safari yetu iwe ya heri na salama, na naamini itakuwa hivyo, na wanaJF wenye mapenzi mema tuzidi kuombeana. Mod tafadhali tafuta jinsi ya kushughulikia wanaokejeli waombaji hapa love connect, hili jukwaa ni sensitive sana, linahusisha maisha ya watu kwa kiasi kikubwa sana, hamjui mtu anachukua courage gani kuja kupost hapa, ni vema kuheshimu maombi ya mtu. Nawakilisha.

Join Date : 18th June 2012,
hahaha, umejiunga 18th june 2012, leo tarehe 24/09/2012, na mahusiano yako yana 3 months, ukitoa siku mlizowasiliana na ile mliyokutana!! duh, so inaelekea ulijiunga kwa lengo la kutafuta mchumba, na ukampata like 2 or 3 days baada ya kujiunga....afu unamsingizia Mungu!! we noma..jipe moyo, ila sidhan kama Sir God anahusika............

Moderator..badilisha yale maneno pale juu, from JF THE HOME OF GREAT THINKERS...to JF THE HOME OF LOVE SEARCHERS.......
 
Yes nilijiunga kutafuta mchumba, so what? watu kama nyie hawanipi presha.....
 
Yes nilijiunga kutafuta mchumba, so what? watu kama nyie hawanipi presha.....

hahaha, mbona tayari inaonesha una presha?? kitu cha destiny??? punguza jazba mtoto wa kike.......asa ka ulijiunga kutafuta mchumba si utoke, si ushampata.....usirudi tena hapa hadi atakapokuacha......and atakuacha tu...teh teh teh :-*:-*:-*
 
spartacus ww huzibwi mdomo?[/QUOTE
huwa naongea ninachojisikia....afterall, its why we are here.... soma vizuri hiyo kitu hapa chini....
logo_m.jpg
 
Back
Top Bottom