Its three months - I can't thank JF love connect enogh...

Oooh... Am so happy for you dear...! Nawatakia kila la heri jamani... Mungu ni mwema daima..!
 
hongera sana destiny1....Mungu awajalie furaha/amani tele katika mahusiano miliyoyaanza
 
Last edited by a moderator:
Hongera maana si mademu wala makaka wa JF wote full pasua, vuta pumzi kwanza
 
Hongera maana si mademu wa makaka wa JF wote full pasua, vuta pumzi kwanza
Thank you POMPO... nikupe siri?? there is so much power in thinking positively, trust me.
 
Hongera.
Wasiosoma ni chakula cha wasomi.
 
Hongera sana na kila la kheri katika safari yenu mliyoianza!
 

Join Date : 18th June 2012,
hahaha, umejiunga 18th june 2012, leo tarehe 24/09/2012, na mahusiano yako yana 3 months, ukitoa siku mlizowasiliana na ile mliyokutana!! duh, so inaelekea ulijiunga kwa lengo la kutafuta mchumba, na ukampata like 2 or 3 days baada ya kujiunga....afu unamsingizia Mungu!! we noma..jipe moyo, ila sidhan kama Sir God anahusika............

Moderator..badilisha yale maneno pale juu, from JF THE HOME OF GREAT THINKERS...to JF THE HOME OF LOVE SEARCHERS.......
 
Yes nilijiunga kutafuta mchumba, so what? watu kama nyie hawanipi presha.....
 
Yes nilijiunga kutafuta mchumba, so what? watu kama nyie hawanipi presha.....

hahaha, mbona tayari inaonesha una presha?? kitu cha destiny??? punguza jazba mtoto wa kike.......asa ka ulijiunga kutafuta mchumba si utoke, si ushampata.....usirudi tena hapa hadi atakapokuacha......and atakuacha tu...teh teh teh :-*:-*:-*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…