Its three months - I can't thank JF love connect enogh...

 
Hongera sana Destiny kwa ujasiri na zaidi wa kufanikisha lengo lako. Hiyo ndio maana halisi ya maneno
"Love Connect"
 

Hebu ondoa negativity zako hapa.Umenikera
 

Hongera sana Mdada,hy ndio kazi ya Love Connect.Enjoy and take care!
 
Hongera maana si mademu wala makaka wa JF wote full pasua, vuta pumzi kwanza

Si wote,mm sitaki kutoa testmony yangu kuhusu mkaka wa ukweli,decent man niliyemjua through JF maana atanidiss na hii new ID,we are just friends though.
 
Yes nilijiunga kutafuta mchumba, so what? watu kama nyie hawanipi presha.....

Watu kama hao ni simple minds.Haelewi JF ni mult-purpose,yeye kama hatafuti anafuata nn hii forum,aende kwenye sisa huko etc hovyooo
 
hahaha, mbona tayari inaonesha una presha?? kitu cha destiny??? punguza jazba mtoto wa kike.......asa ka ulijiunga kutafuta mchumba si utoke, si ushampata.....usirudi tena hapa hadi atakapokuacha......and atakuacha tu...teh teh teh :-*:-*:-*

Ungekuwa karibu ningekupiga konzi,hv hata aibu huna unamwombea mwenzio aachike ili upate faida gani haswa,sidhani kama utapata chembe hata moja ya baraka ktk ndoa yako kama unayo ama relation.Una roho mbaya haswa,hy breakup inaweza kukurudi ww ukashangaa.
 
Hongera mamii kwa kumpa unaempenda, hope Mungu atafungua milango ya baraka na hamtaishia hivyo bali atawaunganisha na kuwa mwili mmoja.

Ni kweli usemayo, people are not serious, unakuta mtu amemaanisha kabisa kwamba anatafuta mke/mme/mchumba n.k lakini watu wanamkejeli na kumpga vijembe, sio vizuri wana MMU, japo si wote

 
Wale wale, wasio watakia heri wenzao
 
I'm happy 4 u mummie!!!hope Mungu atafanya zaidi endelea kumshirikisha sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…