Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wanasiasa ndio watunga sera za afya na elimu , watumishi wa umma hutekeleza hizo sera. Kama shule za umma hazina hadhi maana yake ni kwamba wanasiasa pamoja na watumishi wa umma wameshindwa kutimiza wajibu wao.
Sasa mwarobaini wake ni kuweka Sheria ya kulazimisha wanasiasa wote hasa wale ambao mshahara wanalipwa na serikali watoto wao marufuku kupeleka shule za binafsi.
Mwanasiasa akiumwa atibiwe hapa nchini mpaka umauti umkute au mpaka apone.
Hii nchi tukichekeana hatufiki. Miaka na miaka wahuni wachache watakuwa wakiwachezesha sindimba wananchi wengi