Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwamba viongozi wajifunge? Haitokaa itokeeWanasiasa ndio watunga sera za afya na elimu , watumishi wa umma hutekeleza hizo sera. Kama shule za umma hazina hadhi maana yake ni kwamba wanasiasa pamoja na watumishi wa umma wameshindwa kutimiza wajibu wao.
Sasa mwarobaini wake ni kuweka Sheria ya kulazimisha wanasiasa wote hasa wale ambao mshahara wanalipwa na serikali watoto wao marufuku kupeleka shule za binafsi.
Mwanasiasa akiumwa atibiwe hapa nchini mpaka umauti umkute au mpaka apone.
Hii nchi tukichekeana hatufiki. Miaka na miaka wahuni wachache watakuwa wakiwachezesha sindimba wananchi wengi
Muhimu sana hiiWanasiasa ndio watunga sera za afya na elimu , watumishi wa umma hutekeleza hizo sera. Kama shule za umma hazina hadhi maana yake ni kwamba wanasiasa pamoja na watumishi wa umma wameshindwa kutimiza wajibu wao.
Sasa mwarobaini wake ni kuweka Sheria ya kulazimisha wanasiasa wote hasa wale ambao mshahara wanalipwa na serikali watoto wao marufuku kupeleka shule za binafsi.
Mwanasiasa akiumwa atibiwe hapa nchini mpaka umauti umkute au mpaka apone.
Hii nchi tukichekeana hatufiki. Miaka na miaka wahuni wachache watakuwa wakiwachezesha sindimba wananchi wengi
Hawa si wanasifia mama kakuza sekta ya elimu sasa ni muda muafaka watoto wao wasome hizi shule alizoboresha mazaKatibiwe unapoweza kumdu. Ukiishiwa noti unarudishwa home kusubiria kukata moto.
Peleka mtoto shule unayoimudu.
Mbona hata wakienda huko India wanakufa. Mafuru na ndugulile wamefia mloganzila????Yani Mtu afe kisa ni Kiongozi wa kisiasa au mtumishi wa Umma? 🐼
Hao tunaowategemea kutunga hizo sheria ndio wafaidikaji wakuu.. Tutegemee wafanye mabadiliko kweli?Wanasiasa ndio watunga sera za afya na elimu , watumishi wa umma hutekeleza hizo sera. Kama shule za umma hazina hadhi maana yake ni kwamba wanasiasa pamoja na watumishi wa umma wameshindwa kutimiza wajibu wao.
Sasa mwarobaini wake ni kuweka Sheria ya kulazimisha wanasiasa wote hasa wale ambao mshahara wanalipwa na serikali watoto wao marufuku kupeleka shule za binafsi.
Mwanasiasa akiumwa atibiwe hapa nchini mpaka umauti umkute au mpaka apone.
Hii nchi tukichekeana hatufiki. Miaka na miaka wahuni wachache watakuwa wakiwachezesha sindimba wananchi wengi
Kwamba wao wenyewe wajitungie sheria za kuwabana? Huu ujinga wa viongozi suluhisho ni machafuko au mapinduzi tu.Wanasiasa ndio watunga sera za afya na elimu , watumishi wa umma hutekeleza hizo sera. Kama shule za umma hazina hadhi maana yake ni kwamba wanasiasa pamoja na watumishi wa umma wameshindwa kutimiza wajibu wao.