M MABAKULI JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 1,754 Reaction score 1,645 Nov 7, 2015 #1 Baada ya sheria ya kimtandao kukamata wazushi mitandaoni sasa itungwe sheria wanaodanganya live yaani kimdomodomo kwa mfano yule jamaa aliyemdanganya rais John Magufuli kuwa watumishi wameenda kunywa chai.kama chai saa saba lunch italiwa lini?
Baada ya sheria ya kimtandao kukamata wazushi mitandaoni sasa itungwe sheria wanaodanganya live yaani kimdomodomo kwa mfano yule jamaa aliyemdanganya rais John Magufuli kuwa watumishi wameenda kunywa chai.kama chai saa saba lunch italiwa lini?