Wataalam na watafiti wa masuala ya Uhifadhi wamesema hatua zinazofanywa na Serikali kuhifadhi maeneo muhimu Kitaifa na Kimataifa ikiwemo ikolojia ya Serengeti na Ngorongoro ina tija kubwa kwa kizazi cha sasa na kijacho na ina maslahi mapana kwa wadau wote wa uhifadhi Duniani.