ITV hata Hii (JIJI LETU) badili hii jina kwa kipindi

ITV hata Hii (JIJI LETU) badili hii jina kwa kipindi

PgSoft2008

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2008
Posts
264
Reaction score
73
sidhani kama kuna mantiki yeyeto kwa ITV kuendelea kutumia jina hili kwa sasa kwa ajili ya habari za dar es Salaam pale jioni. Tuna jiji zaidi ya moja sasa hivi kama sikosei kuna Arusha, Mwanza, Mbeya, Tanga N.K.

Ni bora muongeze Dar es Salaam pale mbele ili kuleta maana. huku ndio kwenda na mabadiliko.
 
Back
Top Bottom