sidhani kama kuna mantiki yeyeto kwa ITV kuendelea kutumia jina hili kwa sasa kwa ajili ya habari za dar es Salaam pale jioni. Tuna jiji zaidi ya moja sasa hivi kama sikosei kuna Arusha, Mwanza, Mbeya, Tanga N.K.
Ni bora muongeze Dar es Salaam pale mbele ili kuleta maana. huku ndio kwenda na mabadiliko.