ITV kushinda Tuzo ya Super Brand mara sita mfululizo kuna nini nyuma ya pazia?

ITV kushinda Tuzo ya Super Brand mara sita mfululizo kuna nini nyuma ya pazia?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
ITV muda mfupi wametoka kupewa hii tuzo ikiwa ni mara sita mtawalia tangu waanze kuipata huku ukusanyaji wa habari na usambazaji wake ukiwa wa hovyo sana achilia mbali uchambuzi.

Hawana EPG, sauti hovyo tena zenye mwangwi wakati mwingine, picha za hovyo, hakuna HD pale ni hivyo anashindwa kununua hata camera za kisasa ila bado wanahonga kupata Tuzo za Super Brand.

USSR
Screenshot_20230227-124553.jpg
 
Hizi tuzo nyingi za corporate ni feki kwa kifupi, kuna uelewano fulani kuwa kila mtu atapata tuzo in exchange for something.

Kwa mfano mtu anaanzisha magazine ya magari inayotegemea makampuni ya magari kuwalipa kuweka matangazo yao ndani ya hiyo magazine kisha magazine inaanzisha "tuzo" na kila anayeweka matangazo sudenly anapata tuzo mmoja anapata "Car of the year", mwengine anapata "Best reliability" mwengine anapata "Editors choice" so kila mtu anapata "tuzo" ambayo anaweza kuiweka kwenye kujipamba, ukichunguza sekta za benki pia kuna vitu vya aina hii, kila benki ina tuzo kila mwaka.
 
Moja ya television mbovu kuwahi kutokea , picha mbovu sjui wanatumia camera za TECNO,na hzo tuzo ni za mchongo tuu hakuna uhalisia wwte , Bora ushinde unaangalia wazee wa kobaz Azam kuliko huo utopolo
 
kwan unafikiri hiyo supabrand ni kwa ajili ya kuonyesha picha nzuri? ITV pamoja na kuwa na mapungufu yao hasa ya ndani bado ni Brand kubwa sana africa Mashariki clouds ni hapo dar es saalm tu ndio munaangalia, Azam bado hawajawa na brand kubwa kuishinda itv japo channel za michezo ndio zinawatoa kidogo. ITV wanastahili kabisa na wapo serious sio kama hivyi vi TV vingine mara leo mtu aingie na Joho na kujipa udocta

Nyingine watu wanasoma magazeti kwa kichaga, wengine wameajiri tu wahuni wa mtaani, mashoga na wasagaji ili kupromote agenda ovu

Azam wameweka sana udini mbele

star tv inatazamwa zaidi ya kanda ya ziwa
TBC malizieni wenyewe
Channel ten tangu alipotoka hapo Jafar Hanui haina jipya tena
Wasafi ni uchafu wanaweza kukata matangazo wakaonyesha birthday ya mama dangote, au juma lokole anakata mauno beach

au wakavunja vipindi wakaonyesha diamond akila roamnce na zari huko Sauzi

ITV WANASTAHILI
 
Utv je ?

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
ITV ni brand ya habari na sio vurugu za wajinga.
Ukikuta mtu anaangalia ITV habari muheshimu sana kuliko yule anaangalia clouds Tv
 
Back
Top Bottom