guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Mpaka wasome JF ? Members Tuanze kulipwa posho aiseeWindow7
sawa,mkuu
ila naona itv wameshafanya marekebisho!
wameshabadilisha kutoka MUBASHARA kwenda MAKTABA!
Jaribu kuulizia tupate uhakikaEmmanuel Kasomi
mkuu,acha nichungulie nje na niulize majirani kama kweli kafa
Picha zake ofisini tumeshatoa tunaweka za mama.mabango tunatoa yote katili yule hitlerchief_
tuache masikhara,magufuli alikuwa anatisha!
influence yake haitokwisha kirahisi aisee!
ukitaka kuamini hofu aliyowapindikiza watanzania,angalia yale mabango yake ya kampeni,mpaka leo Tanzania mpya yapo intact,hakuna mwenye jeuri ya kuyagusa!
noma aiseee!
[emoji23][emoji23]Kuna wakati ukisikia sauti yake unaweza sema jamaa kaamka