kanyagio JF-Expert Member Joined Dec 10, 2009 Posts 1,021 Reaction score 366 Jan 23, 2011 #1 kwa wale ambao hamkuona kipindi cha kongamano la katiba la UDSM kinarudiwa leo. ndo kimeanza.. fungua ITV ufaidi!!
kwa wale ambao hamkuona kipindi cha kongamano la katiba la UDSM kinarudiwa leo. ndo kimeanza.. fungua ITV ufaidi!!
Madela Wa- Madilu JF-Expert Member Joined Mar 24, 2007 Posts 3,063 Reaction score 735 Jan 23, 2011 #2 Halo hiyo Massey Ferguson yako hapo kwenye Avatar imekaa vizuri sana. Wale jamaa wa jembe na nyundo huku fedha zote wananunulia ma VX ni wazushi. Ni kweli waoga hawataurithi Ufalme wa mbinguni wala hapa duniani.
Halo hiyo Massey Ferguson yako hapo kwenye Avatar imekaa vizuri sana. Wale jamaa wa jembe na nyundo huku fedha zote wananunulia ma VX ni wazushi. Ni kweli waoga hawataurithi Ufalme wa mbinguni wala hapa duniani.
Lenana JF-Expert Member Joined Oct 10, 2010 Posts 421 Reaction score 79 Jan 23, 2011 #3 naam kipindi cha nyuma nadhani cdn ndo ilikuwa alama yao ya utambulisho ktk bendera yao!
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Jan 23, 2011 #4 Ilikata... Kidogo imerudi sasa
coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,264 Reaction score 2,676 Jan 23, 2011 #5 Skills4Ever said: Ilikata... Kidogo imerudi sasa Click to expand... nimeona huenda wamekatisha kitu muhimu.
Skills4Ever said: Ilikata... Kidogo imerudi sasa Click to expand... nimeona huenda wamekatisha kitu muhimu.