ITV mnachotufanyia kwenye Isidingo is not fair at all. Msitufanye tuanze kumkumbuka Mzee Reginald Mengi this soon!

mimi kwa sasa siangalii isidingo ITV toka nilipogundua isidingo inarushwa youtube sasa hivi nanenda nao sambamba na watu wa afrika kusini hii isidingo inayoonyweshwa na ITV iko nyuma sana na bado wanairudisha nyuma
 
Hiyo inaitwa Uraibu
 
kweli aisee - hawa jamaa wame lost sana siku hizi!

halafu ki-front-front chao cha kushobokea mambo ya ikulu huwa unakuta wanakatiza programs nyingine ambazo zina umuhimu kuliko wauza nyago wa huko wanakokimbilia.

jirekebisheni upesi nyie ITV!
 
Nakushauri Paschal wewe ni mwanahabari mzuri sana tuongelee mambo muhimu tuachane na ivi vitu personal ata ukikataa sisi ni watoto wa kambo tumekatwa mikia
Membe voice
 
Nakushauri Paschal wewe ni mwanahabari mzuri sana tuongelee mambo muhimu tuachane na ivi vitu personal
Mimi ni all weather, sio kila kitu ni serious issues, life is living, taking it easy, having a goodtime and enjoyment its all life is all about, na sio serious stuff all the times.
P
 
Mimi dstv waondoe channel za nyumbani sjawahi tena kuona isidingo
 
Hii tamthiliya ni habari nyingine, umenikumbusha kipindi naifuatilia sana wakati Tema Sabopedi AKA Lerato anapambana na breast cancer kati mfululizo fulani, nilikua nimezama Deep sana kwa yule dada. Siku hizi mambo mengi kama hivyo ITV nao miyeyusho mingi.

Pongezi nyingi sana mkuu Paskali
 
Ilipoishia week hii. Benjamin amemtia hasara ya milions of Rand Mr Sibeko halafu ame resign kama CEO wa SG.
 
Media za bongo hovyo tu,sisi tumekatiwa mpira kimya kimya pamoja na watu kuwapigia simu bado hata hawajajishughulishi kutoa taarifa rasmi Ni mpaka uwapigie mwenyewe ilhali wana platforms kibao tu.WTF
 
Pascal Mayalla kwanin ujipe shida na kupangiwa ratiba? Kwanin usijipakulie mwenyewe kwa muda wako?

Isidingo tena ya ITV ipo nyuma sana, jiangalizie kwenye channel SABC 3, chagua episode uliyoishia, songa mbele.
 
Sijawahi kuipenda hii tamthilia hata kidogo

Binafsi nilikuwa mtumwa wa kujitakia wa tamthilia ya ''Days of our lives''...enzi izo inaonyeshwa CTN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…