Itv muonyeshe uefa champion league mwaka huu

Itv muonyeshe uefa champion league mwaka huu

idumu

Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
44
Reaction score
1
Dear ITV,
Tunawaomba mwaka huu murushe michuano ya UEFA CHAMPION LEAGUE MAANA NYINYI NI UHAKIKA ZAIDI kwa sababu CHANEL TEN WANATUBOA SANA, HAWAKO SERIOUS NA KAZI ZAO. WEWE UTAONYESHA MPIRA LIVE WAKATI NI RECORDED. IS IT FAIR??

ME NAOMBA ITV WAFANYE KAMA MIAKA YA 2004 etc IT WAS BETTER.

NA PICHA ZA ITV NI UHAKIKA

ITV INAONGOZA, THEN STAR TV KWA MBALI WENGINE WANA JIKONGOJA.

TBC NDO OVYO KABISA SIWAPENDI HATA TAARIFA ZAO SI ZA UHAKIKA PICHA NDO OVYO KABISA.

MAONI YANGU
 
Maoni, maombi au uchambuzi.....
 
Kwa kweli hapo umenena mkuu! Hizo channels zengine zinatuyeyusha tu... tatizo usiasa mwingi ndy maana ITV inatoswa kila siku.... ITV iko juu kwa kweli.
 
maoni, maombi au uchambuzi.....


namsaidia kujibu.

hayo ni maombi na mimi nayaunga mkono sababu tumeshuhudia waume zetu wakipata shida sana kwa kuangalia mipira recorded pale channel ten ila wakiambiwa ni live. Itv miaka hiyo ilikuwa bomba saaana!
 
Tatizo sio CHANNEL TEN ila haki ya kurusha matangazo wanayo ETV ya Africa ya Kusini na wao wamepewa mechi moja ya tu ndio wanaonyesha LIVE ile game ya Jumatano ata kama watapewa ITV awawezi kuonyesha mechi mbili kwa wiki ile ilikuwa enzi ya CIF ndio walikuwa wana mechi mbili kwa juma sasa haki wanayo SUPERSPORT tu.
 
Back
Top Bottom