inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,805
- 22,633
Yaani hadi inaboa,j3 hapakua na hiyo shida,j4 mwendo ule uleHuenda shida iko ITV maana siku hizi wamechoka sana wakiongozwa Hosea mchopa
Tatizo halipo itv tatizo ni hao DStvWakuu,nikiwa kama mtu nipendaye kuifuatilia habari za ndani,hupendelea kutazama ITV kutokana na mfumo wa taarifa yao ya habari
Lakini linalochosha kwenye kisimbusi cha DStv ni kukatika mara kwa mara kwa matangazo na kuonekana ujumbe 'technical difficulties'...ninachojiuliza ni ITV hawajui hili au ni suala DStv?..maana lina muda sasa
Yule mtangazaji babu yuko wapiTatizo lipo ITV mitambo yao itakua imechakaa sana