B bababikko JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,696 Reaction score 4,352 Sep 16, 2022 #1 kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku huu ITV inamtaja Pareso kua mbunge wa chadema hii haikubaliki
kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku huu ITV inamtaja Pareso kua mbunge wa chadema hii haikubaliki
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Sep 16, 2022 #2 Kuna haja ya Chadema kuchukua hatua za kisheria kwa hawa wapotoshaji
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 16, 2022 #3 Sasa kaingiaje Bungeni?
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 2,902 Reaction score 1,875 Sep 16, 2022 #4 Tunaomba habari za maana zaidi ya hii mkuu,wengine hatujabahatika kuangalia hyo TAARIFA ya HABARI
K Kahungwe JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 249 Reaction score 163 Sep 16, 2022 #5 Inakera sana
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,661 Reaction score 21,656 Sep 16, 2022 #6 Ni mbunge wa Chadema na sehemu ya mshahara wake unakatwa Chadema kila mwezi kwenye maendeleo ya chama
Ni mbunge wa Chadema na sehemu ya mshahara wake unakatwa Chadema kila mwezi kwenye maendeleo ya chama
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Sep 16, 2022 #7 MSAGA SUMU said: Ni mbunge wa Chadema na sehemu ya mshahara wake unakatwa Chadema kila mwezi kwenye maendeleo ya chama Click to expand... uongo hautakusaidia kitu
MSAGA SUMU said: Ni mbunge wa Chadema na sehemu ya mshahara wake unakatwa Chadema kila mwezi kwenye maendeleo ya chama Click to expand... uongo hautakusaidia kitu
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 25,725 Reaction score 78,589 Sep 16, 2022 #8 Waombe msamaha Kila siku Kwa siku 10 mfululizo.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 17, 2022 #9 Bahati mbaya...