Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Jan 27, 2023 #1 Superbrand Afrika Mashariki vipi tena. Matangazo yenu yanakatakata sana. Taarifa ya habari saa 2 ndio usiseme. Tatizo lipo wapi? Tena ni muda sasa satelite zenu zinasumbua sana hadi binafsi naondokewa na mood ya kutazama vipindi vyenu
Superbrand Afrika Mashariki vipi tena. Matangazo yenu yanakatakata sana. Taarifa ya habari saa 2 ndio usiseme. Tatizo lipo wapi? Tena ni muda sasa satelite zenu zinasumbua sana hadi binafsi naondokewa na mood ya kutazama vipindi vyenu