U urasa JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 434 Reaction score 2 Oct 29, 2010 #1 wekeni midahalo yote mitatu hewani mmoja baada ya mwingine then watz wapime nani haswa yupo makini na anapaswa kuwa rais wetu,
wekeni midahalo yote mitatu hewani mmoja baada ya mwingine then watz wapime nani haswa yupo makini na anapaswa kuwa rais wetu,
coby JF-Expert Member Joined Nov 28, 2008 Posts 342 Reaction score 39 Oct 29, 2010 #2 Hilo ndio lenyewe, tena wafanye kwa siku ya kesho. Dr. Slaa wampangie muda wowote hata saa 6 usiku coz nina uhakika watu hawatapata usingizi hadi wawe wameuangalia
Hilo ndio lenyewe, tena wafanye kwa siku ya kesho. Dr. Slaa wampangie muda wowote hata saa 6 usiku coz nina uhakika watu hawatapata usingizi hadi wawe wameuangalia