ITV wame suggest wanaopotosha suala la Loliondo wapewe kesi ya uhujumu Uchumi...

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
ITV baada ya kutokea sekeseke la Loliondoa waliuliza swali kwenye kipima joto kuwa "wanaopotosha" suala la utiaji mipaka Loliondo wapewe kesi ya uhujumu uchumi..?🤣🤣

Hivi jamani hata tuki assume ni kweli wanapotosha, wapewe kesi ya uhujumu uchumi? Hii kesi si haina dhamana?

ITV ombeni radhi

 
IPO siku inakuja watapewa Tu hii kesi ya uhujumu uchumi hapo watajua maabayake
 
Na kama Serikali ndio inapotosha ?
 
Kila taasisi inajitahidi kujiweka karibu na maslahi ya mabeberu
 
bado unaangaliaga ITV mangi.
daahh
 
Huu ni ujinga sana chombo cha habari kupigania giza.
 
Sikumbuki mara ya mwisho kuangalia local channels ni mwaka gani. Nipoteze mda wangu kuangalia vilaza hawa?
 
Hii habari ya loliondo kupewa haki ya kumiliki ngorongoro kwa ajili ya kuwinda na kuchimba madini kama ni kweli inaleta ukakasi sana-Serikali ni vyema ikafanya process nzima kuwa jumuishi kuondoa mikanganyiko kwenye jamii isiyofaa, Swali la msingi ni why now kwa gharama kubwa ya hata uhai wa binadamu kama lengo ni kumnufaisha binadamu mwenyewe? Atafaidi matunda akiwa kaburini?
 
Wameanza unafiki kama wengine?? Tutaondoa imani kwao pia.....Ohooo....
 
Syo ITV bali mtangazaji wa hyo TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…