MawazoMatatu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2008
- 505
- 63
Mkuu mi naangalia hapa maandishi yanapita chini kwamba jimbo limekwenda kwa Regia Mtema wa Chadema..!Very Bad Mkuu PJ sielewi kwa kwa ni Bado Niponipo anaamua kufanya hivi maana hapa nilipo nipo mbele ya ITV na sijaona hiyo Breaking Nyuz
So Chadema is now ahead of CUF hence the opposition party
Mwanakiji... i am full of tears
tears of joy for GS
against all odds, there is God
i wish i could be a writer
to write her story
Mungu ni mkubwa
Kati ya ushindi wote wa chadema huu ni mtamu zaidi. Im really proud of her and respect her for her tenacity and incredible resilience. You Go girl!
huyo nasikia anarudi sisiemu kuwania nominee
Regia njoo utuambie tena my swetie maana tutatoana macho humu ndani
Regia njoo utuambie tena my swetie maana tutatoana macho humu ndani
Mpendazoe kimeo, CHADEMA ilikosea kumpa jimbo, Anhesimama Rachel angeshinda, Mpendazoe hafanani na CHADEMA, hawezi hata kuvaa COMBAT
Atakuwa kachoka sana, kazi ya kulinda kura si mchezo asikwambie mtu. Kama hujuio muulize Mnyika, shati alilopigia kura siku ya J'ili hakupata hata muda wa kwenda kubadilisha mpaka tulipomwona anakabidhiwa hati ya kushinda ubunge pale Loyola....Na hapo ndipo wala vijana wa siku hizi hatukwenda JKT...Je tungekwenda.
CCM waamke sasa....la sivyo litawachwea!