Iundwe tume ya kushughulikia rushwa na urasimu katika ofisi za umma

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari!

Hali ni mbaya sana.

Kama mtumishi wa umma unafika ofisi nyingine ya umma unakutana na urasimu (mizunguko isiyo na ulazima au ucheleweshwaji wa huduma)je, wananchi wanakutana na vizingiti vingapi wanapohitaji huduma kwenye ofisi za umma?

Serikali iunde tume ya kuchunguza urasimu na vitendo vya rushwa miongoni mwa watumishi wa umma.

Serikali itaokoa bilioni nyingi za fedha, wananchi wataipenda serikali yao.

Maana mwananchi akikutana na mtumishi wa umma mpumbavu basi huichukia serikali yote.
 
Hakuna haja kila mtu atimize wajibu wake 'collective leadership'
 
Ufisadi umeruhusiwa,sasa wewe unataka ushughulikiwe kivipi tena?!
Your browser is not able to display this video.
 
Nani aunde tume ya kumchunguza yupi? Ili report apewe nani wa kuifanyia kazi? Fanyeni system reforms wacheni kuzunguka zunguka! Tume inaleta report inawekwa kwenye faili maisha yanaendelea !
 
Nani aunde tume ya kumchunguza yupi? Ili report apewe nani wa kuifanyia kazi? Fanyeni system reforms wacheni kuzunguka zunguka! Tume inaleta report inawekwa kwenye faili maisha yanaendelea !
Wanaokuwa kwenye tume niwalewale hakuna sura mpya
 
Piga kelele tupate katiba mpya maana itatupatia taasisi imara na huru,kesi hii mkuu unaiwakilisha kwa PP,huyu ana mamlaka ya judge, anachunguza na within 21days anakujibu, maamuzi yake yapo kisheria na ni mahakama tu yenye uwezo to review (full bench),kwa sasa pole na fanya self push back kupata haki yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…