Iv math wanapiga penalt kwa 4m 4 (2014) au wamefuta nisaidieni?

Iv math wanapiga penalt kwa 4m 4 (2014) au wamefuta nisaidieni?

NIKKI WA TATU

Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Jaman yani me mwenzenu naumiza kichwa ivi necta 4m 4 wa 2o14 watapiga penalt math au imefutwa?
 
Dogo Piga Hesabu usiwe b.wege

serikali yetu yenyewe hii kama madem wakibongo muda wowote wanabadirika !
 
kwa sasa imefutwa lakini usibweteke ukadhani utatereza na ganda la ndizi. Pia acha kuandika maneno ki FB FB!.
 
Back
Top Bottom