Nilikua niki tegemea tbc wataonyesha mchezo wa twiga stars na zambia lakini awakuonyesha wala kutangaza kwenye radio. Kumbukeni kua twiga stars inakua ikifanya vizuli kuliko timu yetu ya wanaume lakini aijaliwi, aitangazwi labda ndiomaana michezo ya nyumbani aifanyi vizuri kwasababu wachezaji wakiwa hapa wanaona tofauti yao na ya taifa starts inavyoandaliwa. Uenda tff nayo inachangia kwa kuto onyeswa match za twiga stars. Itv ilikua inaonyesha match zao lakini siwezi kuwalaumu hiyo ni tv binafusi inafanyia faida ikijitolea tunashukuru tbc ndio wanawajibu wa kuonyesha match zote zinazousu taifa kama tv za mataifa mangine zinavyofanya