Nasri A Kulemba
Member
- Oct 16, 2015
- 20
- 56
Mshambuliaji wa Brentford, Ivan Toney, amefungiwa kujihusisha na mpira kwa miezi minane kwa kosa la kukiuka sheria za chama cha soka cha England, FA, kuhusu kubeti.
Kifungo chake kutaisha Januari 16, lakini zaidi ya kufungiwa, Toney pia amepigwa faini ya pauni 50,000 ambayo ni sawa na shilingi za Tanzania takribani milioni 150.
Toney mwenye miaka 27, alishitakiwa kwa makosa 262 lakini makosa 30 yakaondolewa na kubaki na makosa 232 ambayo amekuwa nayo na hatia baada ya yeye mwenyewe kukiri.
Makosa hayo aliyafanya kuanzia Februari 25, 2017 na Januari 23, 2021.
Sheria za ligi kuu ya England zinazuia wachezaji kubeti.