Ivi azamtv offer ya kisimbuzi kipya ipo?

Ivi azamtv offer ya kisimbuzi kipya ipo?

DUMEGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
499
Reaction score
206
Mambo vipi wakuu, nahitaji kujua kitu.

Ivi ile offer ulikua ukinunua kisimbuzi kipya unapewa mwezi mzima bure amna ama?,
Nauliza ivyo maana nimenunua kipya leo kuwasha naona free local chanel
Cha antena 99k
 
Umenunua Bei Gani?
Maana ukinunua kwa 210,000
Unapewa miezi mitatu all channels free
 
Back
Top Bottom