Ivi furaha ya maisha ni nin?


nakushauri uza mali zako zote na nusu yake uwapatie maskin, kwan utakuwa umejiwekea hazina yako isioza mbinguni. Nafsi yako inaonekana kuna kitu inakitamani na unakijua, kaa jiulize
 
Mkuu usije ukajinyonga tu maana watu wakishaanza kujiuliza hivi maisha yana raha gani hufuatiwa na kuanza kujiuliza hivi what im i living for ,then wanajiua.Mim nakuomba jaribu kupenda msichana mmoja ambaye na yeye atakupenda,ukiwa na wengi wataishia kukufanyia vitu vya ajabu ila mmoja anaweza kukufanya ukawa mwenye furaha sana.
Nahisi kuna mengi yakuandika hapa ila nimechoka sana leo,bali nakuombea upate raha ya maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…