Ivi hakuna penati imekataliwa leo?

mjogoro

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
882
Reaction score
652
Nilidhani tungekuwa na mijadala ya kukataliwa kwa goli la wazi (Ruvu) na penati (Yanga) baada ya mchezo wa leo. Lkn story inayotamba midomoni ni ishu ya goli pekee.

Nauliza wenzangu, hakukuwa na tukio la penati iliyokataliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…