Ivi hili huwa ni tatzo kwa wote au ni kwangu tu jaman?

Ivi hili huwa ni tatzo kwa wote au ni kwangu tu jaman?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wakuu,me cjui huwa nina tatzo gani,yan kila nikiwa naongea na msichana ambae nampenda kwa dhati huwa nakua speechless kabisa,naweza nka mcall kwenye simu afu ncmwambie kitu chochote cha maana,hadi wkt mwngne huwa najishtukia mwenyewe eti,lakin cha kushangaza nikiwa naongea na wasichana wengne ambao najua ninataka kuwatafuna tu then niingie mitini,huwa nakuaga na confidence za ajabu.sasa wakuu,ebu naomben mnishauri,hapa tatzo langu huwa linakua wapi na nifanye nin ili kuondoa hiyo hali?
 
Unawapenda wangapi kwa dhati na mpaka sasa ushatafuna wangapi? kijana bado mdogo ww ebu aste aste.
 
Hilo ni tatizo lako mwenyewe,ila tulia usipende kutafuna tafuna!!
 
Ni kawaida kabisa.
Mi kuna mmoja nampenda, na kila nikimtoa out simwambii nampenda
NAishia kuongelea stori zingine tu.
 
Dah... Sasa tatizo lako nini kama unaogopa kuwa stait foward kwa umpendae lakini unaweza kwa machangu? Una tatizo, kitaalam linaitwa 'genophobia'
 
umpendae shetani anakuzua ucpate unaetaka kutafuna shetani ndo anakucmamia umpate,mshirikeshe mungu katka maswala ya umpendae
 
Ni kawaida kabisa.
Mi kuna mmoja nampenda, na kila nikimtoa out simwambii nampenda
NAishia kuongelea stori zingine tu.
aallllaaaaaa kumbe jana dinner kempinski ndo mana ulikuwa unauma kucha tu?
 
bado hujatulia. Siku ukitulia mungu atakupa maneno ya kusema na mkeo mtarajiwa
 
Wakuu,me cjui huwa nina tatzo gani,yan kila nikiwa naongea na msichana ambae nampenda kwa dhati huwa nakua speechless kabisa,naweza nka mcall kwenye simu afu ncmwambie kitu chochote cha maana,hadi wkt mwngne huwa najishtukia mwenyewe eti,lakin cha kushangaza nikiwa naongea na wasichana wengne ambao najua ninataka kuwatafuna tu then niingie mitini,huwa nakuaga na confidence za ajabu.sasa wakuu,ebu naomben mnishauri,hapa tatzo langu huwa linakua wapi na nifanye nin ili kuondoa hiyo hali?

umpendaye waogopa kumdhuru........................na yaelekea kutokana na maelezo yako wewe ni gwiji wa kuwaachia watoto wa watu maumivu...................hivyo si rahisi kutofautisha umpendaye na usiyempenda..........na ndiyo maana unapata kigugumizi kwa kuzoea utapeli ni vigumu kubadilika..............wahitaji kujipanga upya............na kuacha ubababishi mwingi.....................anza kuwa na kauli tumainiwa na aminika.......
 
Acha ****** soma dogo......hao wanawake watakupeleka kuzimu mda si mrefu!
 
Siyo vizuri kuwa kitia tia!! mpende akupendae, acha danganya wengineo!!
 
Ebu jaribu kumpigia tuone!
Hahaha,this is funny........
36008_131463070215530_100000555130870_258776_60039_n.jpg
 
Back
Top Bottom