aallllaaaaaa kumbe jana dinner kempinski ndo mana ulikuwa unauma kucha tu?Ni kawaida kabisa.
Mi kuna mmoja nampenda, na kila nikimtoa out simwambii nampenda
NAishia kuongelea stori zingine tu.
Mbona leo sina mawazo yakinifu.
Wakuu,me cjui huwa nina tatzo gani,yan kila nikiwa naongea na msichana ambae nampenda kwa dhati huwa nakua speechless kabisa,naweza nka mcall kwenye simu afu ncmwambie kitu chochote cha maana,hadi wkt mwngne huwa najishtukia mwenyewe eti,lakin cha kushangaza nikiwa naongea na wasichana wengne ambao najua ninataka kuwatafuna tu then niingie mitini,huwa nakuaga na confidence za ajabu.sasa wakuu,ebu naomben mnishauri,hapa tatzo langu huwa linakua wapi na nifanye nin ili kuondoa hiyo hali?
Ni tatizo la wale wanaopenda kutafuna tafuna!