Ivi ile kesi ya lady jaydee na kina ruge imefikia wapi???

Ivi ile kesi ya lady jaydee na kina ruge imefikia wapi???

Joined
May 7, 2013
Posts
23
Reaction score
7
Mda kidogo umepita sijasikia taarifa yeyote kuhusu ile kesi hewa aliyofunguliwa lady jaydee,naiita kesi hewa kwa kuwa mshtakiwa mwenye bado hajasomewa shtaka lake mpaka leo kama sikosei,ila nakumbuka mara ya mwisho kabla ya show ya jide tarehe kumi na tatu(13) alihudhuria mahakamani mapema kusikiliza mashtaka yake,ila cha ajabu ruge na kusaga hawajuweza kutokea mahakamni apo,tokea apo hadi leo sijasikia kinachoendelea kuhusu kesi yao,kama kuna anayejua zaidi atupe data apa..
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371999084974.jpg
    uploadfromtaptalk1371999084974.jpg
    39.9 KB · Views: 133
Subiri tarehe 27 mwezi huu au ujao,kwa taarifa yako sio lazima umuone mhusika mahakamani na mawakili watakula wapi?kesi itakuwa tamu iyo kwa kuwa ushahidi upo na ni mwendo mdundo tu.kesi si aliinunua?
 
Back
Top Bottom