DEVINE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 536 Reaction score 86 Oct 14, 2011 #1 Ivi ingekuwaje pale mtu kafunga ndoa tu na hisia zake zinakatika zinaamia kwa mwenza wake tu. Au ingekuwaje hisia za mapenzi zinakuja tu pale unapokutana na mwanaume/mwanamke sahihi kwa maisha yako na si mwingine yeyote yule?
Ivi ingekuwaje pale mtu kafunga ndoa tu na hisia zake zinakatika zinaamia kwa mwenza wake tu. Au ingekuwaje hisia za mapenzi zinakuja tu pale unapokutana na mwanaume/mwanamke sahihi kwa maisha yako na si mwingine yeyote yule?