Ivi kama TCU na JESHI hawaelewani, Form 6 tutaamini vipi MAtokeo yetu ya NECTA ?

Ivi kama TCU na JESHI hawaelewani, Form 6 tutaamini vipi MAtokeo yetu ya NECTA ?

cmbowe

Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
18
Reaction score
3
Jamani its too much..
Mwaka huu Form 6 hatuelewi serikali na tcu kabisaaaa.
Kwanza sielewi inaamanisha nini kwa Jeshi kutaka tuanze kusoma vyuo January wakati TCU wameshatangaza ni kati ya mwezi wa tisa na kumi.. Mwaka huu.. Je, kuna contradiction gani between TCU na Jeshi ?? Kwanini wana JF Mwenzangu unafikiri sisi wanafunzi wa Form 6 2013 tunazungushgwa sana na hii serikali ya CCM..JE???
-- Kunawatu wana taka kula Budgets za Jeshi hapo au..
-- TCU inakomoa serikali..
Je nini.. Pls tusaidiane kidogo!!!
Asante:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:
:disapointed:
 
nenda jkt kwanza ukirudi utakuwa na adabu
 
jamani its too much..
Mwaka huu form 6 hatuelewi serikali na tcu kabisaaaa.
Kwanza sielewi inaamanisha nini kwa jeshi kutaka tuanze kusoma vyuo january wakati tcu wameshatangaza ni kati ya mwezi wa tisa na kumi.. Mwaka huu.. Je, kuna contradiction gani between tcu na jeshi ?? Kwanini wana jf mwenzangu unafikiri sisi wanafunzi wa form 6 2013 tunazungushgwa sana na hii serikali ya ccm..je???
-- kunawatu wana taka kula budgets za jeshi hapo au..
-- tcu inakomoa serikali..
Je nini.. Pls tusaidiane kidogo!!!
Asante:a s 39::a s 39::a s 39::a s 39::a s 39:
:disapointed:

time wil tell just wait
 
we nani kakwambia TCU NA JKT WANA MAHUSIANO?NA IYO YA NECTA UNAYOSEMA IMETOKEA WAPI TENA?
 
amua mwenyewe uvunje sheria au nenda chuo..............
 
Back
Top Bottom