Ivi kumbe kuna wazazi wengine hawapendi kuona watoto wao wanafanikiwa kimaisha

Ivi kumbe kuna wazazi wengine hawapendi kuona watoto wao wanafanikiwa kimaisha

iamriq_arthur

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2021
Posts
440
Reaction score
1,086
Sasa nimekua mkubwa, nimegundua kuna baadhi ya wazazi hawapendi kuona watoto wao wakifanikiwa kimaisha na wakiwa na maisha mazuri,
Ukishafanikiwa kimaisha mzazi (Baba) anakupiga vita kali ili urudi nyuma ikibidi ufirisike kabisa ili yeye awe na furaha .[emoji30]
From now on , sitomwamini mtu yeyote hapa duniani zaidi ya mimi mwenyewe[emoji119]
KAMAWUSHAWAHI PITIA SITUATION YA KUWAZA KUJINYONGA, NDO HII NINAYOPITIA MIMI SASAHIVI , NAHISI SITHAMINIKI NA MTU YEYOTE HAPA DUNIANI
 
Back
Top Bottom