Ivi kuna madhara gani kwa wanao nyonya uchi wa mwanamke /mwanaume

Madhara hupatikana endapo mmoja kati wanaoshiriki tendo hilo atakuwa na maambukizi ya magonjwa ya ngono kama kaswende, gono, fungus, na aina kathalika za bakteria.
Ila kama wote mpo salama hamna shida mara nyingi inashauriwa kutofanya hivyo mana wengi wetu sio waaminifu hivyo si madhara tu kwa kunyonya but hata kufanya ngono isiyo salama ni hatari kwa afya yako.
 
Ulichosema ni sahihi 100% mkuu, haishauriwi kitaalam kunyonya uke kutokana na uwepo wa millions of bacteria & other microorganisms ambao miongon mwao wanaweza wepo wenye madhara kiafya, hii inatokana na wanawake wengi kutokuwa waaminifu pia magonjwa mwengi ya zinaa kwa wanawake huwa hayaoneshi dalili mapema hivyo unaweza kuona hakuna tatizo ama harufu mbaya mwanzon ukajua hana shida ila baadae ukakupata ugonjwa
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…