Ivi kuna madhara gani kwa wanao nyonya uchi wa mwanamke /mwanaume

Hivi kwa mfano mwanamke akiwa na ugonjwa kama gono au kaswende anaponyonya uume hawezi kumwachia mwanaume maambukizi ya ugonjwa huo hata kama hawakufanya tendo jingine la ndoa?
 
Hivi kwa mfano mwanamke akiwa na ugonjwa kama gono au kaswende anaponyonya uume hawezi kumwachia mwanaume maambukizi ya ugonjwa huo hata kama hawakufanya tendo jingine la ndoa?
Hapana mkuu,vile vimelea havikai mdomoni.
Kama una shemeji mwache aendelee kutuma ‘SALAMU’ kwa raha zaka..!
 
Hivi kwa mfano mwanamke akiwa na ugonjwa kama gono au kaswende anaponyonya uume hawezi kumwachia mwanaume maambukizi ya ugonjwa huo hata kama hawakufanya tendo jingine la ndoa?
Aina shida
 
Kna maambukizi yanaitwa Wharts!! Wajuz wa huu ugonjwa watupe more info pleaze maana naskia unasababishwa na hayo matendo
 
Kwenye uke huwa kuna virus vinavyojilikana kama HPV (HUMANPAPILOMA VIRUS), visus hivi huweza kusababisha cancer ya koo au cancer ya mlango wa kizazi!
 
Ikiwa anayenyonywa ana maambukizi ya hiv na infection yeyte ujue umekwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…