Inasemekana wanaume walisoma masomo ya kujieleza na hawa waliosoma masomo magumu magumu kama engineering n.k.. Huwa wana urgue tofauti na pia hata katika ku-solve matatizo wana tofautiana.
Nauliza sababu kuna shosty wangu alikuwa na boyfriend wake engineer sasa wamemwagana, sasa kapata mngwini ndio ananiambia kua wana tofautiana kabisa. Anajuta anamkumbuka Mpennzi wake wa awali.
Je hii ina apply pia na kwa ladiez or? naomba kuuliza ili jaman.
ebwana tofauti ipo...hawa wa ngwini bwana nawakuwa waongeaji sana lafu sasa katika ile mechi yetu ya sita kwa sita unakuta wao ndio screamers wakati hawa scientists bana wanakuwa wanatafakari wee jambo la hisia wao wanataka leta calculus pale na inaharibu mood nzima
hahaha mwe.ebwana tofauti ipo...hawa wa ngwini bwana nawakuwa waongeaji sana lafu sasa katika ile mechi yetu ya sita kwa sita unakuta wao ndio screamers wakati hawa scientists bana wanakuwa wanatafakari wee jambo la hisia wao wanataka leta calculus pale na inaharibu mood nzima
lakini sasa huyu mtoa maada anaonyesha kuwa huyo wa engineer ndo anaye kumbukwa.I think wa Engineer less understand the woman than the other...
msidanganyane humu
masomo anayochukua mtu yana reflect tabia zake
na kazi anayofanya mtu inamuathiri tabia zake
na hata kampuni au ofisi anayofanya mtu inamuathiri saana tabia zake....
ma enginerr wengi hawapendi ubishani
kwa sababu wamefundishwa 'ku solve tatizo na kufikia muafaka'
wakati wanasheria wanapenda kubishana kwa sababu wamefundishwa 'kushinda' argument na 'kumnyamazisha'
mwenzio kwa hoja...
get it??
Vipi kuhusu wale ambao hawakupata nafasi ya kuufikia uinginia au uanasheria, waanadhiriwa na nini? Consider form Iv or VI leavers kwa Tanzania, halafu mambo yakamchanganyia hata shule asindelee nayo tena.
msidanganyane humu
masomo anayochukua mtu yana reflect tabia zake
na kazi anayofanya mtu inamuathiri tabia zake
na hata kampuni au ofisi anayofanya mtu inamuathiri saana tabia zake....
ma enginerr wengi hawapendi ubishani
kwa sababu wamefundishwa 'ku solve tatizo na kufikia muafaka'
wakati wanasheria wanapenda kubishana kwa sababu wamefundishwa 'kushinda' argument na 'kumnyamazisha'
mwenzio kwa hoja...
get it??