ivi kuna ukweli hapa?

cheating hata 'emotional cheating' ni cheating so zote hizo...
but believe me.wapo watu hawa cheat kabisa....very rare but wapo...

Hapo bold nakubaliana na wewe. Ni wachache mno. Na hata kuwajua kwa uhakika haiwezekani.
 
Hahahaha, usijali PM hazipungui wala nini.

Mmmh maybe an attorney, I think you would make one hell of an attorney.

Damn! You can add psychic to your long list of 'gifted talents'. Lol
 
itategemeana na kazi unayofanya
why do u think walimu wanaonekana ni 'better wives'?????
jiulize hilo....
Duh! Itabidi nitafakari. Mimi nilikusudia kuoa afande mmoja pale Lugalo kwao Nachingwea.
Mimi nilitoroka la 7 yeye kamaliza chuo. Mimi ninauza nyanya kwenye kibaraza yeye yuko kikosi cha mizinga.
Kwa hivyo nitarajie nini? Push-ups na kuamshwa 9 za usiku kwa ligwalide?
 
I tell you there is a big clear difference.
I wont go into details but kuna ukweli % kubwa tu

tofauti ipo moja tu............wakati wa kushusha mzigo, engineer analia ki mathematics wakati ngwine wanapiga makelele haooo
 
xaveri rwaitama kasoma nini
lazima ungesomea kama ya huyo

Halafu ngoja nikuulize....hivi kwa mfano, kulingana na michango yangu hapa JF, ningekuwa nami nimebahatika kusoma hadi chuo kikuu na kupata lidigrii, unadhani ningekuwa nimesomea fani gani?
 

kwanza shosty wako mwambie kila mtu au watu wanatofautiana kwa kila kitu au kwa lugha nyngne wanaume hawafanan kama wanawake wanavyofanana hvyo mwambie kama jamaa wa kwanza alikuwa mtundu kwake hai usihan na fan za uinjinia au uhasibu ni utundu wa mtu tuu na alikolea kwa jamaa zaid ya huyu wa sasa
 

halafu we nilijua ni demu kumbe kidume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…