Ivi kutongoza huwa wanaanzaje?

Unamwandikia hivi ktk simu: "n 3^07 ! -- unashangaa! Hebu weka simu juu chini usome tena. Naomba majibu."

Kwa nini usinge yageuza mwenyewe huko huko?! unatupa tabu sisi wenye desktop chogo.
 
We bushoke kwel,we wauliza jnc ya kutongoza?nan anatongozwa ckuhz?we omba cell # biashara kwisha
 
Hakuna style maalum ya kutongoza, inategemea demu, mazigira na wakati.
Utakavyo tongoza asubuhi si sawa na utakavyotongoza jioni au usiku dogo.
 
Pia itategemea, unataka kimoja chafasta au unataka relationship forever man????
 
Hapa m naona dem unamtongoza kutokana na jinsi yeye mwenyewe alivyo dem mshka bible n tofaut na utakavyomtongoza dem wa madisco,,!jipange andaa tu voko ambazo zipo juu mashair yasimame unaweza ukameza hata kanda ya west life..''
 
siku hizi hamna kutongozana....ni mnasomana tu kama mkiniaje, mnaenda kumalizana!
 
Mwambie naomba tukutanishe makojoleo yetu
 
Mwambie, naomba tukacheze mchezo wa KIBABA NA MAMA............................LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…