ivi kwanini mlevi ukimwomba pesa hakupi ila bia atakununulia ata za laki apo unywe uchoke

ivi kwanini mlevi ukimwomba pesa hakupi ila bia atakununulia ata za laki apo unywe uchoke

Mimi mlevi mashuhuri huwa nikilewa huwa nagawa bukubuku Sana ujiongeze MWENYEWE Kama unajiongeza na buku uchukue safari kubwa Ni juu yako
 
Back
Top Bottom