Tetesi: Ivi ni kweli eti continuing students wenye supp hawasaini mkopo?

Tetesi: Ivi ni kweli eti continuing students wenye supp hawasaini mkopo?

Sadoseba

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
243
Reaction score
91
Kwa walio vyuoni, inasemekana eti wanafunzi wanaoendelea na masomo hawapewi fedha ya kujikimu ikiwa wana supplementary hata moja. Hii ni kweli?
 
Kwa walio vyuoni, inasemekana eti wanafunzi wanaoendelea na masomo hawapewi fedha ya kujikimu ikiwa wana supplementary hata moja. Hii ni kweli?
Ni vyema ukapata majibu sahihi kwenye ofisi ya Dean. Hapa ndani mmmh!
 
hapana mkuu,sio kweli mana Mlimani Univ (CKD) wanafunz walokuwa na supp pamoja na special examz wameanza kusain jana na wanasain kiasi kilekile na allocation zao hazijabadilika ipo kam awali.tatzo lilikuwa ni kwamba matokeo yao hayakufika bodi mapema.so iko ivo kwamb ni wanapewa pesa kam kawaida
 
Mh ndugu majibu mazuri ungemuuliza mtu unayemfahamu Maana humu wengine hata ilo boom hawalijui wanaweza wakadhani bomu
 
Back
Top Bottom