Ivi niko sahihi kweli ushauri wenu jamani

faraji yassin

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
243
Reaction score
24
me nimechaguliwa udsm nimepangiwa Bachelor of arts in economics lakini nilikua nataka kubadilisha nisome Bachelor of commerce in accountancy sasa nilikua naombeni ushauri wenu wakuu ipi ni course bora....!!!
 
  • Je kwa kutumia kigezo kipi?
  • Je ni upatikanaji wa ajira? au urahisi wa kusoma? kwa kigezo kipi hebu fafanua kidogo.
Karibu
 
What do u like?
Nadhani u shud go for which u really feel in your heart like ,Yes this is it. Na pia ucheck mwelekeo wa ajira na ugumu wa masomo usije feli mwishoni,coz kama unapenda kitu utakifanya vizuri
 
sana sana nilikua naona kwa upatikanaji wa ajira na kitu kingine watu wananiambia kua kwa udsm department ya uchumi sio nzuri yan waalimu wanabana sana na pia wanasema kua ukitaka kuish kwa stress soma uchumi udsm
ndo ivo bro sa sijui we ulikua unanishaulije
 
What do u like?
Nadhani u shud go for which u really feel in your heart like ,Yes this is it. Na pia ucheck mwelekeo wa ajira na ugumu wa masomo usije feli mwishoni,coz kama unapenda kitu utakifanya vizuri

nashukuru sana bro kwa ushauri wako mzur mungu akubariki sasa kwa kwa izo course we unavoona ipi ni bora
 
Back
Top Bottom