faraji yassin
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 243
- 24
me nimechaguliwa udsm nimepangiwa Bachelor of arts in economics lakini nilikua nataka kubadilisha nisome Bachelor of commerce in accountancy sasa nilikua naombeni ushauri wenu wakuu ipi ni course bora....!!!
Karibu
- Je kwa kutumia kigezo kipi?
- Je ni upatikanaji wa ajira? au urahisi wa kusoma? kwa kigezo kipi hebu fafanua kidogo.
What do u like?
Nadhani u shud go for which u really feel in your heart like ,Yes this is it. Na pia ucheck mwelekeo wa ajira na ugumu wa masomo usije feli mwishoni,coz kama unapenda kitu utakifanya vizuri