kibori nangai JF-Expert Member Joined Jan 14, 2015 Posts 1,430 Reaction score 2,130 Aug 30, 2024 #1 Polisi mnawachukuliaje CHADEMA na wanachama waoo. Kwa taarifa ya Leo Nimesikitika sana
ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 66,537 Reaction score 75,687 Aug 30, 2024 #2 kibori nangai said: Polisi mnawachukuliaje CHADEMA na wanachama waoo. Kwa taarifa ya Leo Nimesikitika sana Click to expand... Ila Mimi nimeona huko Twitter Kwa kina Mdude bango la Maandamano na wanadai kilichobaki ni kwenda kufanya maandamano yasiyokoma. Ulitaka Polisi wafanyaje?
kibori nangai said: Polisi mnawachukuliaje CHADEMA na wanachama waoo. Kwa taarifa ya Leo Nimesikitika sana Click to expand... Ila Mimi nimeona huko Twitter Kwa kina Mdude bango la Maandamano na wanadai kilichobaki ni kwenda kufanya maandamano yasiyokoma. Ulitaka Polisi wafanyaje?
MAKANGEMBUZI JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 2,670 Reaction score 7,655 Aug 30, 2024 #3 Police ni kukundu cha wahuni na majambazi kilichopo kisheria