Ivi selection za tcu zimefikia hatua gani?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Kwa anaejua please,maana wengne hatujui hata kinacho endelea huko!
 
we kilaza kweli!majina yapo kwenye net tangu ijumaa kama hujaona lako wahi veta.
 
we kilaza kweli!majina yapo kwenye net tangu ijumaa kama hujaona lako wahi veta.

Acha arrogance, mwenzako kauliza we unamtukana. Vijana mtakuwa wastaarabu lini. Eti wewe tunaku-train uwe kiongozi kesho, nikilijua jina lako naku-strike out of the names list ya university!
 
Acha arrogance, mwenzako kauliza we unamtukana. Vijana mtakuwa wastaarabu lini. Eti wewe tunaku-train uwe kiongozi kesho, nikilijua jina lako naku-strike out of the names list ya university!

vipi mkuu,una updates zozote za huko tcu unihabarishe?
 
we kilaza kweli!majina yapo kwenye net tangu ijumaa kama hujaona lako wahi veta.
We **** kweli kweli bora ungekaa kimya, mwenzetu kauliza kiustaarabu anataka kujua wewe unajibu utumbo mshenzi sana wewe
 
Naomba kujua hivi wote mkiingia kwenye acc zenu kwenye website ya cas kwa sasa mnakutana na hili neno not eligible au checkin progress hata kwa zile ambazo ulikuwa umeandikiwa eligible kabla ya deadline?
 
taarifa nimezipata japo c vyanzo vya kuaminika ya kua total applicants walikua 40K na waliopata vyuo ni 30K so kukiwa na ukweli hapo, applicants kama 10K watakuepo 2 mtaani wanauza sura till nxt year! Na kwa hali nnayoiona wa2 kuwa packed kwenye prgrm chache ilihali wakisaka vyuo bora na kukimbilia kwenye mikopo inawezekana kukawa na ukweli! Again chukua hizi habari 50/50 maana alienambia nlimuuliza source nae hana uhakika anasema kaambiwa ipo kwenye 1 of 2days news! Nawasilisha makamanda
 
kamanda mbna hali ni tete sana yaani watu elfu kumi nje.!? Vp kuhusu majina alisema yatatoka lini?
 
Mchakato wa selection baada ya kukamilika TCU majina yatapelekwa HESLB kwaajili ya Mikopo, HESLB wakikamilisha zoezi la kuselect watakao pata mikopo, watarudisha majina TCU sasa hapo ndio TCU wata publish selections,wahadhiri walianza mchakato wa kuchagua wanafunzi tangu July 5(according to TCU) so vijana taarifa za nyuma ya mlango zinaweza kua kweli au la just, Msisite kutoa fununu mlizo nazo vijana. Mungu atusaidie tupate pale tupatakapo
 
kamanda mbna hali ni tete sana yaani watu elfu kumi nje.!? Vp kuhusu majina alisema yatatoka lini?

walisema ni late this month ila hata mwaka jana walisema hivo but tokeo lilitoka wa 8(mwanzon)! Predicting hizi sys za bongo ni nxt 2 impocble
 
true i.e th case! May God do that
 
walisema ni late this month ila hata mwaka jana walisema hivo but tokeo lilitoka wa 8(mwanzon)! Predicting hizi sys za bongo ni nxt 2 impocble

last year walitoa August 31
 
Nimeomba hii program(NA NILIKUWA ELIGIBLE);
*Bachelor of Education Mathematics(TEKU)
*Capacity-300
*Total applicants applied-335
*Eligible-243
*1st choice-27(pamoja na mimi)
Je,naweza kupata?
 
Kuna updates nimezipata,eti kuna baadhi ya vyuo na baadhì ya programs kama bcom,law,political science,public admininistration,BBA,hrm nk zimekosa watu wa kutosha na vile vile kozi kama medicine,BVM,agriculture,engineering na education zimekimbiliwa na watu wengi hvo kuwapa wakati mgumu wakuu wa vyuo husika katika kuwachagua watu wanaowataka,vile vile wanasema watu wengi wamekimbilia kuaply vyuo kama udsm,sua na saut.ndio hayo niliyoyapata,sasa sijui kama yana ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…